Home Tags Burkina Faso

Tag: Burkina Faso

Utawala wa jeshi nchini Burkina Faso waongezwa kwa miaka mitano

0
Serikali ya kijeshi nchini Burkina Faso umejiongezea muda wa kutawala kwa kipindi cha miaka mitano zaidi huku kiongozi wa kijeshi Ibrahim Traoré, akiruhusiwa...

Tai wa Mali wapaa hadi robi fainali AFCON

0
Mali walijikatia tiketi kwa robo fainali ya kombe la AFCON baada ya kuwalaza Burkina Faso mabao 2-1, katika mchuano wa raundi ya 16...

Mbweha wa Algeria waponea chupuchupu AFCON

0
Mabingwa wa AFCON mwaka 2019 Algeria ukipenda The Foxes wametoka nyuma mara mbili na kulazimisha sare ya mabao 2 dhidi ya Burkina Faso, katika...

Watu 15 wauawa katika mashambulizi Burkina Faso

0
Watu 15, wengi wao raia, waliuawa katika "mashambulizi ya wakati mmoja" mwishoni mwa wiki mashariki mwa Burkina Faso, vyanzo vya usalama na vya nchi...

Urusi yatuma tani laki mbili za nafaka Afrika

0
Urusi imetangaza kutuma shehena ya kwanza ya nafaka kwa mataifa ya Afrika kutimiza ahadi ya rais Vladmir Putin, wakati wa kongamano la mataifa ya...

Watu wanne wakamatwa kuhusiana na jaribio la mapinduzi Burkina Faso

0
Siku moja baada ya serikali ya kijeshi ya Burkina Faso kutangaza kuwa imetibua jaribio la mapinduzi, utawala wa nchi hiyo umesema umewatia nguvuni maafisa...

Wanajeshi 80 wauawa na magaidi nchini Burkina Faso

0
Mashambulizi manne yaliyotekelezwa na kundi haramu nchini Burkin Faso yamesababisha vifo vya watu takriban 80 wakiwemo maafisa wa usalama 39 kufikia Ijumaa. Kulingana na taarifa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS