Home Tags Bungoma

Tag: Bungoma

Serikali kuimarisha utengenezaji wa bidhaa za ngozi nchini

0
Serikali inalenga kuimarisha utengenezaji wa viatu hapa nchini, hatua itakayolenga kusitisha uagizaji wa viatu kutoka nchi za nje. Rais William Ruto amesema kuwa serikali itapiga...

Rais Ruto: Uwekezaji katika kilimo ni ufunguo wa kuhakikisha usalama wa...

Rais William Ruto amebainisha kuwa uwekezaji katika kilimo unasalia kuwa ufunguo wa upanuzi wa msururu muhimu wa thamani katika uchumi wetu, na katika kuhakikisha...

Serikali kupanua idara ya uhamiaji Bungoma Kusini

Serikali inapania kupanua afisi ya idara ya uhamiaji kwenye kaunti ndogo ya Bungoma kusini, kwa lengo la kuwezesha idara ya uhamiaji kutayarisha na kutoa...

DCI yawatahadharisha wahudumu wa teksi dhidi ya wahalifu

0
Idara ya upelelezi wa jinai DCI, imewataka wahudumu wa teksi kuwa waangalifu kufuatia ongezeko la makundi ya uhalifu yanayowalenga.  Katika taarifa kupitia mtandao wa X,...

Rais Ruto kuzuru Bungoma Alhamisi

0
Rais William Ruto anatarajiwa kuanza ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika kaunti ya Bungoma kuanzia Alhamisi Februari mosi. Ziara hiyo inajiri miezi mitano tangu...

TSC yalalamikia utelekazaji kufuatia kukosa kuripoti shuleni kwa wanafunzi 11,000

0
Tume ya kuwaajiri walimu TSC imelalmikia utelekazaji katika kaunti ya Bungoma kufuatia wanafunzi 11,601, waliokalia mtihani wa KCPE mwaka 2023 waliokosa kujiunga na kidato...

EACC yamkamata afisa wa polisi kwa kula mlungula

0
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) jana Alhamisi ilimtia nguvuni afisa wa polisi anayehudumu katika kituo cha polisi cha Mumias kaunti ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS