Home Tags Budapest Hungary 2023

Tag: Budapest Hungary 2023

Wakenya wawinda dhahabu 3 Budapest katika siku ya mwisho ya mashindano...

0
Wanariadha wa Kenya watajitosa uwanjani katika fainali tatu katika siku ya mwisho ya makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani  Jumapili usiku mjini...

Imani ya Wakenya kwa Kipyegon na Wanyonyi kutwaa dhahabu Mashindano ya...

0
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 1500 faith Kipyegon na Emanuel Wanyonyi wanaangaziwa na Wakenya zaidi ya milioni 40 kunyakua dhahabu...

Ni kufa kupona kwa Moraa dhidi ya Athing nusu fainali ya...

0
Bingwa wa Jumuiya ya Madola Mary Moraa atashuka uwanja wa kitaifa wa riadha mjini Budapest nchini Hungary Ijumaa usiku katika nusu fainali ya mita...

Kipsang na Cheruiyot wawinda dhahabu telezi ya mita 1500 Budapest

0
Abel Kipsang na Reynold Kipkorir ndio wakenya watakaojitosa uwanjani jumatano usiku katika  fainali ya mita 1500 mjini Budapest Hungary. Kipsanga anaorodheshwa wa tatu ulimwenguni huku...

Faith Kipyegon alenga kuhifadhi dhahabu ya dunia mita 1,500 Jumanne

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki na dunia katika mbio za mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon atashuka katika uwanja wa kitaifa wa Budapest Jumanne...

Cheptegei agura mbio za uwanjani baada ya kutwaa dhahabu ya tatu...

0
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 10,000 Joshua Cheptegei wa Uganda, ametangaza kuhama mashindano ya uwanjani baada ya kutwaa dhahabu ya...

Omanyala afuzu kwa fainali ya mita 100 katika mashindano ya Riadha...

0
Bingwa wa Jumuiya ya madola katika mbio za mita 100 Ferdinand Omanyala amejikati kwa fainali ya mashindano ya dunia kwa mara ya kwa ya...

Kenya kusaka medali katika siku ya pili ya mashindano ya Riadha...

0
Wanariadha wa Kenya wataendelea kusaka medali ya kwanza huku makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Ulimwenguni yakiingia siku ya pili Jumapili mjini Budapes...

Kipyegon,Chepchirchir na Jebitok wafuzu nusu fainali ya mita 1500 mashindano ya...

0
Bingwa mtetezi wa dunia Faith Kipyegon,Nelly Chepchirchir na Edinah Jebitok wamefuzu kwa nusu fainali ya Jumapili ya mbio za mita 1500,katika siku ya kwanza...

Mashindano ya Riadha Ulimenguni yanukia Budapest, Hungary

0
Makala ya 19 ya mashindano ya kuwania ubingwa wa Riadha Ulimwenguni yataandaliwa mjini Budapest nchini Hungary kati ya Agosti 19 na 27 mwaka huu. Jumla...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS