Home Tags Budapest 2023

Tag: Budapest 2023

Wanamichezo watuzwa shilingi milioni 32 na Rais Ruto

0
Rais William Ruto amewatuza wanamichezo waliofanya vyema  kimataifa kitita cha shilingi milioni 32  siku ya Ijumaa wakati wa hafla ya kuzindua jengo la Talanta...

Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia

0
Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia mjini Budapest nchini Hungary watarejea nyumbani Jumatatu usiku. Kenya iliyowakilishwa na wanaraidha 57 ilimaliza katika nafasi...

Takwimu za makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani

0
Makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani yalikamilika jana Jumapili usiku mjini Budapest, Hungary yakiwashirikisha wanariadha 2,100 kutoka mataifa 195 walioshindana katika kipindi...

Moraa atwaa dhahabu ya mita 800 mashindano ya Riadha ya Dunia

0
Mary Moraa ndiye bingwa mpya wa dunia katika mbio za mita 800 na Mkenya wa tatu kushinda dhahabu ya dunia kwa wanawake. Moraa aliishindia Kenya...

Wakenya wawinda dhahabu 3 Budapest katika siku ya mwisho ya mashindano...

0
Wanariadha wa Kenya watajitosa uwanjani katika fainali tatu katika siku ya mwisho ya makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani  Jumapili usiku mjini...

Kipyegon atwaa dhahabu ya pili ya Kenya

0
Bingwa wa dunia katika mita 1500 Faith Kipyegon ndiye bingwa mpya dunia katika mita 5000,baada ya kuibuka mshindi Jumamosi usiku. Kipyegon aliye na umri...

Lyles na Jackson wahifadhi mataji ya mita 200 mashindano ya Riadha...

0
Shericka Jackson wa Jamaica  na Noah  Lyles wa Marekani wamedhihirisha umaahiri  wao baada ya kuhifadhi mataji ya dunia ya mita 200 katika siku ya...

Ni kufa kupona kwa Moraa dhidi ya Athing nusu fainali ya...

0
Bingwa wa Jumuiya ya Madola Mary Moraa atashuka uwanja wa kitaifa wa riadha mjini Budapest nchini Hungary Ijumaa usiku katika nusu fainali ya mita...

Yego akosa kufuzu kwa fainali ya urushaji sagai

0
Bingwa wa dunia mwaka 2015 katika urushaji sagai Julius Yego amekosa kufuzu wka fainali ya makala ya mwaka huu mjini Budapest, Hungary. Yego alibanduliwa katika...

Mabarubaru Wanyonyi na Kipng’etich kuwania tiketi ya fainali ya mita 800

0
Chipikuzi wa Kenya Emmanuel Wanyonyi na Alex Kipng'etich watajitosa uwanjani Alahamisi usiku mjini Budapest,Hungary kwenye fainali ya mita 800 huku mashindano ya Riadha Duniani...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS