Tag: Bongo Fleva
Zuchu na Diamond wameachana
Mwanamuziki wa Tanzania Zuhura Othman maarufu kama Zuchu ametangaza kwamba yeye na mwanamuziki mwenza wameamua kuachana rasmi.
Aliandika hayo kwenye akaunti yake ya Instagram na...
Mr. Nice ahamishia muziki wake Kenya
Msanii wa Bongo Fleva Lucas Mkenda aka Mr. Nice ametangaza kuhamishia muziki wake nchini Kenya, kutokana na kile alichokitaja kuwa kufanyiwa figisu nchini mwao...
Dogo Janja asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa njia ya kipekee
Mwanamuziki wa Tanzania Dogo Janja jana Septemba 15, 2024 aliamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa njia ya kipekee.
Nyota huyo wa muziki wa Bongo...