Home Tags Bomet

Tag: Bomet

Gari la Gavana wa Bomet lahusika katika ajali

0
Gari la Gavana wa kaunti ya Bomet, lilihusika katika ajali ya barabarani Jumatatu asubuhi katika eneo la Kipsarwet Bomet Mashariki. Hata hivyo Gavana huyo na...

Watano waangamia, wengine 18 wajeruhiwa kwa ajali Bomet

0
Watu watano wameripotowa kufariki papo hapo huku wengine 18 wakijeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyotokea katika barabara ya Olonguruone-Silibwet katika kaunti ya Bomet Jumatatu...

Washukiwa wawili wa ujambazi wakamatwa Bomet

0
Maafisa wa polisi wanawazuilia washukiwa wawili wa kundi la majambazi ambalo limekuwa likiwahangaisha wakazi wa kaunti za Bomet, Kericho na Nakuru. Wawili hao walikamatwa kwenye...

Wanafunzi maskini Bomet wanufaika na ufadhili wa masomo

0
Serikali ya kaunti ya Bomet imetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 250 werevu lakini kutoka familia maskini katika kaunti hiyo. Wanafunzi hao ni miongoni wale...

Polisi wanasa bangi ya thamani ya shilingi milioni moja Bomet

0
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Bomet wamenasa bangi ya thamani ya shilingi milioni moja iliyokuwa ikisafirishwa siku ya Jumatatu. Akiwahutubia wanahabari, kamanda wa polisi...

Mbunge Osoro akanusha madai ya kuzunguka mbuyu

0
Mbunge Mugirango Kusini Silvanus Osoro amekanusha madai ya kutoa hongo katika hafla moja iliyoandaliwa kaunti ya Bomet. Osoro ambaye alihojiwa na Tume ya Maadili na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS