Home Tags Bipartisan talks

Tag: bipartisan talks

Matukio ya Taifa: Kamati ya maridhiano yakamilisha zoezi la kupokea maoni

0
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano ya pande zote mbili imekamilisha zoezi la kupokea maoni kutoka kwa wananchi. Tume hiyo sasa inatarajiwa kuanza zoezi la...

Kalonzo ana imani na mazungumzo ya maridhiano

0
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameelezea matumaini yake na mazungumzo ya maridhiano yanayoendelea baina ya serikali na upinzani. Kalonzo pia amesema ameridhishwa na...

Mwafaka wa mazungumzo kati ya serikali na upinzani kutiwa saini Jumatano...

0
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano baina ya serikali na upinzani inatarajiwa kusaini mkataba wa maelewano Jumatano ijayo kabla ya mazungumzo kuanza rasmi. Haya yameafikiwa leo...

Mazungumzo ya pande mbili kurejelewa leo

0
Mazungumzo kati ya mrengo wa Kenya Kwanza na Azimio la Umoja One Kenya yanarejelewa leo Jumatatu Agosti 21, 2023. Pande hizo mbili zinatarajiwa kukubaliana...

Kega atishia kwenda mahakamani Jubilee isipohusishwa kwenye majadiliano

0
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Kanini Kega ametishia kuelekea mahakamani iwapo chama cha Jubilee hakitahusishwa kwenye mazungumzo ya pande mbili kati ya muungano...

Raila afanya mazungumzo na Seneta Coons wa Marekani

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga jana Jumapili, Agosti 13, 2023 alifanya mazungumzo na seneta Christopher Coons anayezuru Kenya. Mkutano...

Kindiki atetea polisi dhidi ya madai ya upendeleo

0
Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki ametetea maafisa wa usalama dhidi ya madai ya upinzani kwamba wanapendelea upande mmoja kisiasa. Kindiki anasema maafisa wa...

Zinga: Hatutaki Handshake! Wanaosema hivyo wakome – Stewart Madzayo

0
Kiongozi wa walio wachache katika bunge la seneti Stewart Madzayo amesisitiza kuwa mrengo wa Azimio haufanyi mazungumzo ya kujiingiza ndani ya serikali ya Kenya Kwanza...

Viongozi waombwa watangulize maslahi ya Wakenya

0
Viongozi walioteuliwa kuwakilisha mirengo ya kisiasa ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja One Kenya kwenye mazungumzo ya maridhiano wameombwa watangulize maslahi ya Wakenya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS