Home Tags Benjamin Netanyahu

Tag: Benjamin Netanyahu

Netanyahu aapa kufunga runinga ya Al Jazeera nchini Israel

0
Waziri Mkuu wa Israel Prime Benjamin Netanyahu ameapa kuvunga runinga ya Al Jazeera nchini mwake akisema inaeneza ugaidi. Tangazo la Netanyahu linaongoza tumbo joto kati...

Netanyahu na Biden watofautiana kuhusu mzozo wa Israel-Gaza

0
Uungwaji mkono maarufu wa Israel nchini Marekani utasaidia kupigana "hadi ushindi kamili" dhidi ya Hamas, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Jumanne. Katika taarifa, Bw Netanyahu...

Kiongozi mkuu wa vita vya Israel amkosoa Netanyahu kuhusu mkakati wa...

0
Mjumbe mkuu wa baraza la mawaziri la vita la Israel amemshutumu Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwa kutosema ukweli kuhusu malengo ya kijeshi ya nchi...

Netanyahu akataa hadharani msukumo wa Marekani kubuniwa kwa taifa la Palestina

0
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anasema ameiambia Marekani kuwa anapinga kuanzishwa kwa taifa la Palestina mara baada ya mzozo wa Gaza kumalizika. Katika mkutano...

ICJ yaanza kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel

0
Majaji kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ jana Alhamisi walianza siku mbili za kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini, ikiishutumu  Israel kwa kutekeleza...

Israel yaidhinisha mkataba wa kuachiliwa huru kwa mateka

0
Baraza la Mawaziri nchini Israel limepiga kura ya kuidhinisha mkataba wa kuachiliwa huru kwa maketa wa nchi hiyo wanaozuiliwa na kundi la Hamas katika...

Netanyahu: Israel haitasitisha vita kwa muda dhidi ya Hamas

0
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amekataa wito wa kusitishwa kwa muda mapigano katika mzozo na Hamas. Akizungumza wakati wa hotuba yake kwa njia ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS