Home Tags Beatrice Chebet

Tag: Beatrice Chebet

Moraa,Komen na Chebet wawika Doha

0
Bingwa mtetezi wa Dunia Mary Moraa, alianza vyema msimu alipotwaa ushindi wa mita 800 katika mkondo wa tatu wa Diamond League wa Ijumaa usiku...

Chebet atawazwa bingwa wa nyika mwaka 2023/2024

0
Beatrice Chebet ndiye bingwa wa msimu wa mwaka 2023/2024 wa msururu wa mbio za nyika ulimwenguni, baada ya kuhifadhi taji ya dunia wiki iliyopita...

Chebet atetea taji ya dunia huku Wakenya wakifagia nafasi tano za...

0
Beatrice Chebet ametetea taji ya dunia ya kilomita 10 katika makala ya 45 ya mashindano ya mbio za nyika Jumamosi alasiri mjini Belgrade nchini...

Chebet avunja rekodi ya dunia ya kilomita 5

0
Bingwa wa dunia wa mbio za Nyika Beatrice Chebet, alifunga mwaka 2023 kwa matao ya juu baada ya kuvunja rekodi ya dunia ya kilomita...

Beatrice Chebet ashinda mbio za nyika nchini Uhispania

0
Jumapili Oktoba 29, 2023, bingwa wa mbio za nyika duniani Beatrice Chebet aliibuka mshindi wa mbio za nyikani za Uhispania almaarufu "Cross Internacional de...

Chebet atwaa dhahabu na kuweka rekodi ya kilomita 5 mjini Riga

0
Bingwa wa dunia wa mbio za nyika Beatrice Chebet, ametwaa dhahabu ya  kilomita 5 katika makala ya kwanza ya  mashindano ya dunia ya mbio...

Chebet na Wanyonyi watwaa ubingwa Xiamen Diamond League

0
Mshindi wa nishani ya Fedha ya Dunia katika mita 800 Emmanuel Wanyonyi na mshindi wa medali ya shaba katika mita 5,000 Beatrice Chebet wameibuka...

Kipyegon atwaa dhahabu ya pili ya Kenya

0
Bingwa wa dunia katika mita 1500 Faith Kipyegon ndiye bingwa mpya dunia katika mita 5000,baada ya kuibuka mshindi Jumamosi usiku. Kipyegon aliye na umri...

Chepkoech ashinda London Diamond League

0
Chepkoech ashinda mitaa 3000 kuruka viunzi na maji mashindano ya London Diamond League yaliyoandaliwa Uingereza Jumapili jioni. Bingwa wa jumuiya ya madola Jackiline Chepkoech ameshinda...

Chebet awika Oslo na kuvunja rekodi ya miaka 24

0
Mshindi wa nishani ya fedha ya dunia Beatrice Chebet, aliandikisha rekodi mpya ya mita 3000 ya mashindano ya Oslo Diamond League maarufu kama Bislet...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS