Home Tags Baringo

Tag: Baringo

Mtu mmoja afariki, wengine watano watoweka baada ya mashua kuzama ziwa...

0
Mtu mmoja amethibitishwa kufariki huku wengine watano wakiwa hawajulikani waliko baada ya mashua waliosafiria kuzama katika ziwa Baringo kaunti ya Baringo. Akithibitisha kisa hicho, kamanda...

IG Koome aagiza kufurushwa kwa majangili North Rift

0
Inspekta Jenerali wa Polisi (IG) Japhet Koome, ameagiza kufurushwa kwa majangili katika eneo la North Rift, aliosema wanasambaratisha uchumi kwa kuharibu miundomsingi ya serikali. Koome...

Polisi wanasa magunia ya ‘mbolea ya mchanga’ uliokuwa ukiuziwa wakulima

0
Maafisa wa polisi wamenasa magunia 34 ya mbolea ghushi iliyokuwa ikiuziwa wakulima katika eneo la Koibatek kaunti ya Baringo. Majasusi wamesema magunia hayo yalikuwa yamepakiwa...

Watu wawili wafariki katika ajali ya barabarani Baringo

0
Watu wawili wamefariki leo Jumamosi kufuatia ajali ya barabarani, iliyohusisha basi la shule ya wavulana ya Kapsabet katika eneo la Patkawanin katika barabara ya...

Mifugo 229 walioibwa Baringo wapatikana

0
Mifugo 229 walioibwa na majangili katika eneo la Barchar, kaunti ya Baringo, wamepatikana na kurejeshewa wenyewe. Kupitia kwa taarifa, huduma ya taifa ya polisi, ilisema...

Serikali kupanga upya usimamizi wa polisi wa akiba nchini

0
Vikosi vya usalama katika eneo la North Rift, vimeimarisha juhudi za kumaliza wizi wa mifugo na aina zingine za uhalifu ambazo zimeghubika eneo hilo...

Maafisa wa usalama wamuua jangili mmoja Baringo

0
Maafisa wa usalama walimuua mwizi mmoja wa mifugo aliyejihami katika eneo la Marigat kaunti ya Baringo siku ya Ijumaa, kufuatia ufiatulianaji risasa mkali. Polisi walikuwa...

Waziri Kindiki ashauriana na maafisa wa usalama Baringo

0
Waziri wa usalama wa taifa Prof. Kithure Kindiki anaongoza mkutano wa usalama katika eneo la Loruk, eneo bunge la Baringo kaskazini. Mkutano huo na maafisa...

Viongozi wa Baringo waazimia kushirikiana ili kukuza maendeleo

Viongozi kutoka Kaunti ya Baringo wamedhamiria kuzika tofauti zao za kisiasa na kushirikiana wakati huu ambapo serikali inaendeleza kampeni za amani kwenye maeneo ambayo...

Ndege ya jeshi yahusika kwenye ajali

0
Ndege moja ndogo ya jeshi la wanahewa imeanguka jioni ya leo punde baada ya kupaa kutoka uwanja wa michezo wa Chemolingot huko Baringo. Ndege...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS