Home Tags Barcelona

Tag: Barcelona

Ronald Koeman atupia Barcelona lawama kisa De Jong

0
Kocha wa zamani wa Barcelona Ronald Koeman ameilaumu klabu ya Barcelona kwa jeraha la kiungo wa Uholanzi Frenkie de Jong ambalo limemfanya kukosa kushiriki michuano...

Inasikitisha! Xavi amlaumu Refa baada ya Barcelona Kukandwa na PSG

0
Kocha wa Barcelona Xavi Hernandez amemuelekezea kidole cha lawama refa Istvan Kovacs' raia wa Romania baada ya klabu yake kuondolewa na PSG kwa jumla...

Alves aachiliwa huru baada ya kuwa jela miezi 14

0
Beki wa Brazil Dani Alves ameachiliwa huru kutoka gerezani nchini Uhispania baada ya kutumikia kifungo cha miezi 14. Alves aliachiliwa Jumanne baada ya kulipa dhamana...

Osimhen na Oshoala waibuka kidedea tuzo za wanasoka Afrika

0
Mshambulizi wa Nigeria na Napoli Victor Osimhen na nyota Super wa Falcons na Barcelona Assisat Oshoala,ndio wanandinga bora Afrika mwaka 2023 kwenye tuzo zilizoandaliwa...

Mchezaji nyota wa Barcelona kuelekea PSG, Xavi atoa machozi

0
Kocha wa Barcelona Xavi Hernandez amethibitisha kuwa winga Ousmane Dembele raia wa Ufaransa anataka kujiunga na klabu ya Paris Saint Germain katika dirisha hili...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS