Home Tags Baraza la Mawaziri

Tag: Baraza la Mawaziri

Serikali yafutilia mbali madeni yanayodaiwa wakulima wa kahawa

0
Baraza la mawaziri limeidhinisha kufutiliwa mbali kwa madeni yanayodaiwa wakulima wa kahawa na marekebisho mengine yanayopasa kufanyiwa sekta ya kahawa. Wakati wa mkutano wa...

Baraza la Mawaziri:Wananchi wanaoishi maeneo hatari waagizwa kuhama

0
Baraza la mawaziri limewaagiza wananchi wanaoishi katika maeneo yanayokabiliwa na hatari, kuhamia maeneo salama katika muda wa saa 48. Kulingana na baraza hilo la mawaziri,...

Baraza la Mawaziri: Usambazaji mbolea ya bei nafuu waongezeka maradufu

Baraza la Mawaziri Leo Jumanne limearifiwa kuwa mbolea ya bei nafuu, imesambazwa katika kaunti 42, huku usambazaji huo  ukiongezeka kwa asilimia 100. Hadi sasa, magunia...

Baraza la Mawaziri laidhinisha miongozo iliyorekebishwa kuhusu mashirika ya Serikali

Baraza la Mawaziri limeidhinisha miongozo iliyorekebishwa kuhusu sheria na masharti ya huduma kwa wanachama wa bodi na wafanyakazi wa Mashirika ya Serikali. Miongozo hii, Baraza...

Serikali kuu na zile za kaunti kutumia akaunti moja ya fedha

0
Baraza la Mawaziri limeidhinisha matumizi ya akaunti moja ya fedha, TSA itakayotumiwa na serikali kuu na zile za kaunti.  Hatua hiyo iliyoafikiwa wakati wa mkutano...

Baraza la Mawaziri: Kaunti 38 zimeathiriwa na mafuriko

0
Jumla ya kaunti 38 zimeathiriwa na mafuriko yanayoshuhudiwa kutokana na mvua za El Nino zinazonyesha katika maeneo mbalimbali nchini.  Watu 76 wamefariki huku familia 35,000...

Ruto aongoza Mkutano wa Baraza la Mawaziri, suala la mafuriko kujadiliwa

0
Rais William Ruto leo Jumatatu anaongoza mkutano wa Baraza la Mawaziri katika Ikulu ya Nairobi ambapo suala la mafuriko linatarajiwa kupewa kipaumbele.  Naibu Rais Rigathi...

Mswada wa marekebisho wa ukaguzi wa hesabu za umma waidhinishwa

0
Baraza la Mawaziri limeidhinisha mswada wa marekebisho wa ukaguzi wa mahesabu wa umma wa mwaka 2023, ambao unaboresha uhuru wa mkaguzi mkuu wa Mahesabu. Mswada...

Serikali kujenga mabwawa zaidi kote nchini

0
Baraza la mawaziri limeidhinisha ujenzi wa mabwawa zaidi kote nchini. Zaidi ya hifadhi 4,000 za maji pia zitakarabatiwa katika mpango mpya wa kuhakikisha usambazaji dhabiti...

Wakulima wa kahawa watengewa shilingi bilioni 4 zaidi

0
Baraza la Mawaziri limeidhinisha shilingi bilioni 4 zaidi kwa ajili ya wakulima wa kahawa nchini.  Hii inamaanisha wakulima sasa watapokea shilingi 80 kwa kila kilo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS