Tag: Bangladesh Protests
Mahakama yatupilia mbali mgao wa nafasi za ajira Bangladesh
Mahakama moja nchini Bangladesh imetupilia mbali migao ya nafasi za ajira serikalini ambayo ilikuwa imesababisha maandamano yenye vurugu kote nchini humo.
Maandamano hayo yamesababisha vifo...