Home Tags Bangi

Tag: Bangi

Washukiwa wanne wa ulanguzi wa bangi wakamatwa Marsabit

0
Saa chache baada ya kunasa bangi ya thamani ya shilingi milioni 35, polisi katika kaunti ya Marsabit wamewakamata washukiwa wanne wa ulanguzi wa bangi.  Wanne...

Mlanguzi wa mihadarati atiwa nguvuni Mombasa

0
Mshukiwa wa ulanguzi wa mihadarati amekamatwa akiwa na kilo 864.9 za bangi, katika mtaa wa Green, eneo la kiembeni, kaunti ya Mombasa. Kulingana na ripoti...

Bangi yenye thamani ya milioni 44 yateketezwa Busia

0
Idara ya usalama mjini Busia imeteketeza bangi yenye thamani ya shilingi milioni 44.1 katika eneo la kutupa taka la Alupe kaunti ndogo ya Teso...

Bangi yenye thamani ya milioni 2.5 yanaswa Malindi, mshukiwa asakwa

0
Polisi mjini Malindi, kaunti ya Kilifi wanamsaka mshukiwa wa ulanguzi wa mihadarati aliyekwepa mtego wa polisi na kuacha nyuma bangi yenye thamani ya shilingi...

Washukiwa 2 wakamatwa, bangi ya mamilioni ya pesa yanaswa Mombasa

0
Washukiwa wawili wa ulanguzi wa bangi wamenaswa katika operesheni ya pamoja iliyofanywa na makachero kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Moi na Kitengo...

Walanguzi watatu wa bangi wakamatwa kaunti ya Samburu

0
Maafisa wa polisi wamewakamata washukiwa watatu waliokuwa wakisafirisha kilo 196 za bangi, katika eneo la Archers Post, kaunti ya Samburu. Kulingana na maafisa wa upelelezi...

Polisi wanasa bangi ya thamani ya shilingi milioni moja Bomet

0
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Bomet wamenasa bangi ya thamani ya shilingi milioni moja iliyokuwa ikisafirishwa siku ya Jumatatu. Akiwahutubia wanahabari, kamanda wa polisi...

DCI yataka washukiwa 2 kuzuiliwa Kilifi kubaini mmiliki wa bangi

0
Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai, DCI jijini Mombasa anataka wanaume wawilii kuzuiliwa kwa kipindi cha wiki tatu ili kubaini mmiliki wa bangi...

Polisi wanasa bangi ya thamani ya shilingi milioni moja Kiambu

0
Maafisa wa polisi katika eneo la Gatundu jana Jumatano walinasa bangi ya thamani ya shilingi milioni moja iliyokuwa imepandwa katika shamba la kibinafsi. Maafisa hao...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS