Home Tags Azimio

Tag: Azimio

Mgombea urais wa Azimio 2027: Kalonzo na Karua walumbana

0
Uhasama umezuka kati ya kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na Martha Karua wa Narc K miaka mitatu kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi...

Matishio ya maandamano, Rais Ruto apuuzilia mbali upinzani

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga ametishia kuitisha tena maandamano mwaka huu ikiwa utawala wa Kenya Kwanza hautabatilisha sheria ya fedha ya mwaka...

Zinga: Matukio ya Siasa, Mwelekeo wa Serikali na Upinzani ni upi...

0
Kumekuwa na mengi ambayo yameshamiri ulimwengu wa siasa wiki iliyopita, Serikali imekuwa na yake huku upinzani ukileta yao, je huenda labda tukaona handisheki ? https://art19.com/shows/zinga/episodes/c618ce26-097f-401b-9f09-ce8ac321e5a5

Raila: Sijamuidhinisha Kalonzo kuwania urais 2027

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga amekanusha madai kuwa amemuidhinisha kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kuwa mgombea urais wa muungano huo...

Matukio ya Taifa: Kamati ya maridhiano yakamilisha zoezi la kupokea maoni

0
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano ya pande zote mbili imekamilisha zoezi la kupokea maoni kutoka kwa wananchi. Tume hiyo sasa inatarajiwa kuanza zoezi la...

Gharama ya maisha haistahimiliki nchini, Azimio yaiambia serikali

0
Muungano wa upinzani wa Azimio umekashifu hatua ya serikali kutangaza ongezeko kubwa la bei za mafuta nchini, ukitaja hatua hiyo kama itakayokuwa mzigo mkubwa...

Mazungumzo ya maridhiano yarejelewa Bomas

0
Mazungumzo ya maridhiano baina ya serikali na upinzani yamerejelewa siku ya Jumatatu katika ukumbi wa Bomas . Kikao hicho kinatarajia kushuhudia pande zote mbili zikiwasilisha...

Kenya Kwanza, Azimio waafikiana juu ya masuala ya kujadiliwa

0
Suala la kupanda kwa gharama ya maisha ni miongoni mwa masuala matano makuu yatakayojadiliwa na kamati ya mazungumzo ya pande mbili.  Suala hilo lilikuwa tata...

Zinga: Mazungumzo yanayoendelea yaibua hisia mseto miongoni mwa wachanganuzi wa masuala...

0
Wachambuzi wa masuala ya siasa wameendelea kutoa hisia mseto kuhusiana na mazungumzo yanayoendelea kati ya upinzani na serikali. Wakiongozwa na Gibson Gisore na David...

Mazungumzo ya Upatanisho: Timu za Kenya Kwanza na Azimio zakutana

0
Timu za utawala wa Kenya Kwanza na muungano wa upinzani wa Azimio zilikutana Bomas of Kenya leo Jumatatu na kukubaliana juu ya kuundwa rasmi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS