Home Tags Azimio la Umoja

Tag: Azimio la Umoja

Raila aunga mkono ugavi wa pesa kwa kuzingatia idadi ya watu

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga ameunga mkono pendekezo la kutaka ugavi wa pesa kutoka serikali kuu kwa kaunti kwa kuzingatia...

Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kutafuta suluhu ya nyakati ngumu zinazo...

0
Serikali imetakiwa kutafuta suluhisho kukabili wakati mgumu wa fedha unaokumba Wakenya wengi. Haya yanajiri siku chache tu baada ya Waziri wa Fedha Prof. Njuguna...

Mrengo wa Jubilee wa Uhuru waidhinisha ripoti ya uwiano wa kitaifa

0
Chama cha Julibee kinachoongozwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, kimeidhinisha ripoti ya maridhiano ya kitaifa. Mivutano ya mara kwa mara imesababisha chama cha Jubilee kugawanyika...

Matukio ya Taifa: Mapendekezo ya ripoti ya maridhiano ya kitaifa yazua...

0
Mrengo wa Azimio one Kenya umeshikilia kwamba lazima suala la gharama ya maisha liangaziwe katika ripoti ambayo tayari imewasilishwa kwa Rais William Ruto na...

Utafiti: Wengi wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani

0
Idadi kubwa ya Wakenya wanaunga mkono kubuniwa kwa afisi ya kiongozi wa upinzani. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya Trends and...

Raila ataka vyama vya kisiasa kuteua makamishna wa IEBC

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anapendekeza vyama vya kisiasa kupitia kwa kundi la wawakilishi wa vyama bungeni, IPPG vihusishwe katika mchakato wa kuwateua makamishna...

Raila atoa wito wa kutolewa kwa fedha zilizotengewa ugatuzi

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, ametoa wito wa kutolewa kwa fedha zilizotengewa majukumu yaliyogatuliwa kwa serikali za kaunti. Raila...

Kioni kuongoza kundi la kiufundi la Azimio wakati wa mazungumzo na...

0
Huku mazungumzo kati ya Kenya Kwanza na muungano wa Azimio la Umoja One Kenya ukitarajiwa kung'oa nanga siku ya Jumatano katika ukumbi wa Bomas,...

Azimio: Maandamano ya wiki hii yangalipo

0
Muungano wa Azimio umesisitiza kuwa maandamano yaliyoratibiwa kufanyika juma hili yataendelea kama ilivyopangwa. Muungano wa Azimio umeitisha maandamano siku za Jumatano, Ahamisi na Ijumaa kulalamikia...

Mudavadi ashutumu maandamano ya sabasaba

0
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ameshtumu maandamano ya Saba Saba yaliyoitishwa na upinzani. Akiongea leo Jumamosi wakati wa hafla ya mazishi katika kijiji cha...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS