Home Tags Azimio la Umoja One Kenya

Tag: Azimio la Umoja One Kenya

Raila apendekeza kaunti kuongezewa mgao wa pesa hadi asilimia 35

0
Kiongozi wa muungano wa upinzani Raila Odinga amependekeza mgao wa pesa kwa kaunti kuongezwa kutoka asilimia 15 hadi 35. Raila amesema pendekezo hilo litakuwa katika...

Tumekusanya sahihi zaidi ya milioni 10, wasema Azimio

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umefichua kuwa umekusanya sahihi zaidi ya milioni 10 zinazotosha kufanya maamuzi muhimu dhidi ya serikali ya Kenya...

Raila aonya dhidi ya jaribio lolote la kunyamazisha upinzani

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesisitiza kujitolea kwake kuhusu mazungumuzo kati ya serikali na upinzani, yatakahoandaliwa Jumatatu ijayo, lakini akaonya dhidi ya jaribio lolote...

Inspekta Mkuu wa Polisi atakiwa kutoa ushahidi wa kukodiwa kwa miili

0
Wahudumu wa vyumba vya kuhifadhi maiti kote nchini wamemtaka Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome kutoa ushahidi wa miili iliyokodiwa na wanasiasa wa upinzani...

Ichung’wah akiri kupokea mwaliko wa mazunguzo kutoka upinzani

0
Kinara wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung'wah amejibu waraka wa mwaliko kwa meza ya mazungumzo kutoka kwa upinzani. Kiongozi wa muungano wa Azimio...

Uhuru ahudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na upinzani

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amehudhuria misa ya wafu inayoandaliwa na muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya, mtaani Karen kuwakumbuka Wakenya wanaodaiwa kuangamizwa...

Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga aachiliwa huru

0
Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga na seneta wa kaunti hiyo Stewart Madzayo ,wameachiliww huru kwa dhamana ya shilingi 50,000 kila mmoja. Madzayo na Chonga...

Azimio watangaza maandamano Jumatano ijayo

0
Muungano wa Azimio One Kenya Alliance, umetangaza kuandaa maandamano Jumatano ijayo kote nchini kwa kipindi cha siku moja kuanzia saa kumi na mbili asubuhi...

Maurice Ogeto mlinzi wa Raila aachiliwa huru

0
Mlinzi wa kiongozi wa upinzani Raila odinga-Maurice Ogeto ameachiliwa huru kutoka gerezani. Akithibitisha taarifa hizo Mkurugenzi wa mawasiliano wa chama cha ODM Philip Etale alisema...

Mbunge wa Kilifi Ken Chong kusalia korokoroni hadi Jumatatu

0
Mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chong ana spika wa bunge la kaunti hiyo Teddy Mwambire watasalia korokoroni hadi Jumatatu ijayo baada ya hakimu wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS