Home Tags Azimio la Umoja One Kenya Coalition

Tag: Azimio la Umoja One Kenya Coalition

Muungano wa Azimio waipa serikali saa 48 kumaliza mgomo wa madaktari

0
Muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya umeipa serikali makataa ya saa 48 imalize mgomo unaoendelea wa madaktari la sivyo ikabiliwe na mgomo...

Raila Odinga atoa taarifa kuhusu ripoti ya maridhiano

0
Kiongozi wa muungano wa upinzani Raila Odinga leo ametoa taarifa kuhusu ripoti ya kamati ya pamoja ya mazungumzo ya maridhiano. Katika hotuba kwa wanahabari Raila...

Viongozi wa Azimio washerehekea siku ya kuzaliwa ya Oburu Oginga

0
Jumapili Oktoba 15, 2023, viongozi kadhaa wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya walikusanyika katika eneo la Bondo katika kaunti ya Siaya kusherehekea...

Aladwa aondolewa mashtaka ya maandamano

0
Mbunge wa Makadara George Aladwa, ameondolewa mashtaka ya kuchochea maandamano yaliyokuwa yamewasilishwa dhidi yake, kufuatia maandamano makubwa ya upinzani yaliyoandaliwa kaunti ya Nairobi Julai...

Mwafaka wa mazungumzo kati ya serikali na upinzani kutiwa saini Jumatano...

0
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano baina ya serikali na upinzani inatarajiwa kusaini mkataba wa maelewano Jumatano ijayo kabla ya mazungumzo kuanza rasmi. Haya yameafikiwa leo...

Mazungumzo ya pande mbili kurejelewa leo

0
Mazungumzo kati ya mrengo wa Kenya Kwanza na Azimio la Umoja One Kenya yanarejelewa leo Jumatatu Agosti 21, 2023. Pande hizo mbili zinatarajiwa kukubaliana...

Kega atishia kwenda mahakamani Jubilee isipohusishwa kwenye majadiliano

0
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Kanini Kega ametishia kuelekea mahakamani iwapo chama cha Jubilee hakitahusishwa kwenye mazungumzo ya pande mbili kati ya muungano...

Kindiki atetea polisi dhidi ya madai ya upendeleo

0
Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki ametetea maafisa wa usalama dhidi ya madai ya upinzani kwamba wanapendelea upande mmoja kisiasa. Kindiki anasema maafisa wa...

Viongozi waombwa watangulize maslahi ya Wakenya

0
Viongozi walioteuliwa kuwakilisha mirengo ya kisiasa ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja One Kenya kwenye mazungumzo ya maridhiano wameombwa watangulize maslahi ya Wakenya...

Azimio kutoa mwelekeo Ijumaa

0
Muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja unatarajiwa kutoa mwelekeo kwa wafuasi wake leo Ijumaa. Viongozi wa Azimio wataandaa misa ya wafu mtaani Karen kuwakumbuka...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS