Home Tags Australia

Tag: Australia

Ajira ughaibuni, Waziri Bore mawindoni

0
Waziri wa Leba Florence Bore ameimarisha jitihada za kuwatafutia vijana wa humu nchini ajira katika mataifa ya kigeni.  Ukosefu wa ajira umetajwa kuwa swala nyeti...

Kimbunga Jasper chasababisha madhara Australia

0
Kimbunga cha kitropiki kwa jina Jasper kimesababisha mvua nyingi kuliko kawaida ambayo pia imesababisha mafuriko makubwa katika eneo la kaskazini mashariki nchini Australia. Kufikia sasa,...

Australia na Saudi Arabia watuma maombi kuandaa Kombe la Dunia 2034

0
Australia na Saudi Arabia wametuma maombi ya kutaka kuandaa fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2034. Hata hivyo, shirikisho la soka barani Asia limetangaza...

Quincy Timberlake akubali mashtaka ya mauaji dhidi yake

0
Quincy Timberlake mume wa aliyekuwa mtangazaji Esther Arunga amekubali mashtaka ya mauaji dhidi yake katika kesi inayohusu kifo cha mwanao wa kiume. Timberlake amekuwa kizuizini...

Uhispania kumenyana na Uingereza fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake

0
Uingereza itapambana dhidi ya Uhispania kwenye fainali ya makala ya 9 ya fainali za kombe la dunia kwa wanawake. Uingereza imefuzu kwa fainali Jumatano baada...

Wenyeji Australia waibandua Ufaransa na kutinga nusu fainali ya Kombe la...

0
Wenyeji Australia maarufu kama Matildas wamefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa mabao 7-6...

Wenyeji Australia waiparuza Denmark na kufuzu robo fainali ya Kombe la...

0
Wenyeji Australia wamejikatia tiketi kwa robo fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake baada ya kuwalaza Denmark magoli mawili kwa bila katika mechi ya...

Wenyeji Australia watinga raundi ya 16 bora Kombe la Dunia kwa...

0
Wenyeji Australia wamefuzu kwa raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kuwagaragaza mabingwa wa Olimpiki Canada mabao 4 kwa bila katika...

Nigeria wawaduwaza wenyeji Australia Kombe la Dunia

0
Nigeria imeweka hai matumaini ya kutinga raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kutoka nyuma na kuwazima wenyeji Australia kwa kuwazabua...

Marekani waanza kutetea kombe la dunia kwa ushindi

0
Marekani wameanza vyema harakati za kutetea kombe la dunia kwa wanawake kwa ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya limbukeni Vietnam, katika mchuano...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS