Home Tags AUC

Tag: AUC

Serikali yabuni sekretarieti ya kupigia debe uenyekiti wa Raila AUC

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amezindua kampeni ya serikali ambayo itapigia debe uwaniaji wa Raila...

Mudavadi, Raila kutoa taarifa kuhusu uenyekiti wa AUC

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi na aliyekuwa Waziri Mkuu  Raila Odinga leo Jumatano watatoa taarifa ya pamoja kuhusu hatua zilizopigwa katika uwaniaji wa...

Mwenyekiti mpya wa AUC kutoka Afrika Mashariki

0
Baraza Kuu la Umoja wa Afrika, AU leo Ijumaa limeidhinishaa kwa kauli moja kuwa mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC atachaguliwa...

Uchaguzi wa AUC: Mawaziri wa Mambo ya Nje waanza kikao Ethiopia

0
Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika wameanza kikao kisichokuwa cha kawaida kinachofanyika katika makao makuu ya Umoja wa Afrika, AU...

Raila apigiwa debe kuwania uenyekiti wa AUC

0
Mabalozi kutoka nchi mbalimbali za bara la Afrika wametakiwa kuunga mkono juhudi za kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwania uenyekiti wa Tume ya Umoja...

Somalia yamtuma bi Fazia kumpinga Raila kwa uenyekiti wa AU

0
Somalia imeanza kampeini za kumpigia debe aliyekuwa waziri Fawzia Adam kuwania uenyekiti wa Muungano wa Afrika,AU kupambana na Raila Odinga aliyependekezwa na serikali ya...

Viongozi wa EAC waunga mkono azima ya Raila kugombea uenyekiti wa...

0
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC wanaunga mkono azima ya kiongozi wa upinzani Raila Odinga kugombea uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika,...

Muungano wa Azimio waunga mkono azma ya Raila kuwania uenyekiti wa...

0
Muungano wa Azimo la Umoja One Kenya,  umeunga mkono azma ya kinara wake Raila Odinga, kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya Umoja wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS