Home Tags AU

Tag: AU

Mwenyekiti mpya wa AUC kutoka Afrika Mashariki

0
Baraza Kuu la Umoja wa Afrika, AU leo Ijumaa limeidhinishaa kwa kauli moja kuwa mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC atachaguliwa...

Kalonzo na Eugene wasema upinzani utasalia imara bila Raila

0
Muungano wa Azimio utasalia imara hata ikiwa Raila Odinga atachaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC.  Hii ni kwa mujibu wa...

Raila amezea mate uenyekiti wa AU

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesema yuko tayari kuwania wadhifa wa uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, AU.  Wadhifa huo kwa sasa unashikiliwa na...

Mudavadi ahudhuria kongamano la usimamizi wa bahari

0
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje amehudhuria kongamano la sera la ngazi za juu lililoangazia usimamizi wa...

AU yataka Ethiopia na Somalia kumaliza mzozo wa bahari

0
Kamati ya usuluhishi wa mizozo ya Umoja wa Afrika, AU imeyataka mataifa ya Ethiopia na Somalia kumaliza mzozo baina yao. Mataifa ya Somalia na Ethiopia...

AU yaomba utulivu kati ya Somalia na Ethiopia kuepusha mzozo

0
Mwenyekiti wa Muungano wa Afrika AU Moussa Faki Mahamat,ameomba kuwa na utulivu na na makubaliano katikameneo la Somaliland na Ethiopia. Faki ameelezea...

Ruto ataka usawa wa masharti ya mikopo kwa mataifa ya Afrika

0
Rais William Ruto amesema ipo haja ya bara la Afrika kuwekewa masharti sawa ya mikopo na mataifa mengine ya ulimwenguni. Ruto amesema haya Alhamisi alipozungumza...

Umoja wa Afrika washutumu jaribio la mapinduzi Niger

0
Umoja wa Afrika, AU umeshutumu jaribio la mapinduzi ya serikali nchini Niger. Baadhi ya walinzi wa Rais Mohamed Bazoum walimgeuka, kumfungia na kumzuia kuondoka katika...

Kenya yateuliwa kuongoza vita dhidi ya biashara ya silaha ndogo ndogo...

0
Kenya imekabidhiwa jukumu la kuongoza harakati za kukomesha biashara ya silaha ndogo ndogo katika eneo la maziwa makuu na upembe wa Afrika. Kenya inachukua uenyekiti...

AU, WFP kushirikiana kuangazia chanzo cha migogoro

0
Tume ya Umoja wa Afrika kupitia kwa Sekretariati ya Hazina ya Amani, imetia saini Makubaliano na Mpango wa Chakula Duniani, WFP wa kuongeza usaidizi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS