Home Tags Athletics Kenya

Tag: Athletics Kenya

Kenya tayari kuandaa mashindano ya dunia ya nyika kwa shule

0
Kenya iko tayari kuandaa mashindano ya dunia ya mbio za Nyika ya shule {International Schools Federation} ISF World Schools Cross Country, tarehe 12 mwezi...

Mshikilizi wa zamani wa rekodi ya dunia ya mita 5,000 Henry...

Taifa la Kenya kwa mara nyingine limegubikwa na biwi la simanzi kufuatia kifo cha mshikilizi wa zamani wa rekodi ya dunia katika mbio za...

Mwaka 2023 ulikuwa wa ufanisi mkubwa kwa wanariadha wa Kenya...

0
Mwenyekiti wa chama cha Riadha Kenya kaunti ya Nairobi Baranaba Korir amesema mwaka 2023 ulikuwa wenye ufanisi mkubwa wa kiwango cha asilimia 80 kwa...

Serikali yatenga shilingi milioni 190 kukuza vipaji vya riadha nchini

0
Wizara ya Michezo imetenga shilingi milioni 190 kuimarisha mipangailio ya riadha ya vijana nchini kupitia kwa mpango maalum wa Talanta Hela. Waziri wa Michezo Ababu...

Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia

0
Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia mjini Budapest nchini Hungary watarejea nyumbani Jumatatu usiku. Kenya iliyowakilishwa na wanaraidha 57 ilimaliza katika nafasi...

Kenya kusaka medali katika siku ya pili ya mashindano ya Riadha...

0
Wanariadha wa Kenya wataendelea kusaka medali ya kwanza huku makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Ulimwenguni yakiingia siku ya pili Jumapili mjini Budapes...

Kipyegon,Chepchirchir na Jebitok wafuzu nusu fainali ya mita 1500 mashindano ya...

0
Bingwa mtetezi wa dunia Faith Kipyegon,Nelly Chepchirchir na Edinah Jebitok wamefuzu kwa nusu fainali ya Jumapili ya mbio za mita 1500,katika siku ya kwanza...

Mashindano ya Riadha Ulimenguni yanukia Budapest, Hungary

0
Makala ya 19 ya mashindano ya kuwania ubingwa wa Riadha Ulimwenguni yataandaliwa mjini Budapest nchini Hungary kati ya Agosti 19 na 27 mwaka huu. Jumla...

Tuwei achaguliwa makamu Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni

0
Rais wa Shirikisho la Riadha Kenya Jenerali mstaafu Jackson Tuwei, amechaguliwa kuwa mmoja wa makamu Rais wa Shirikisho la Riadha Ulimwenguni kwenye uchaguzi ulioandaliwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS