Home Tags Al Shabaab

Tag: Al Shabaab

Wanajeshi wa Kenya waua wanamgambo 6 wa Al Shabaab Lamu

0
Wanajeshi wa Kenya waliwauwa wanamgambo sita wa kundi haramu la Al Shabaab, katika msako ulioendesha kaunti ya Lamu Jumatano wiki hii. Kulingana na taarifa hiyo...

Wakenya sita wauawa nchini Somalia

0
Wakenya sita wameuawa mjini Dhobley nchini Somalia katika shambulizi linaloshukiwa kutekelezwa na wanamgambo wa kundi la Al Shabaab. Hii ni kwa mujibu wa Naibu...

Washukiwa watano wa Al Shabaab wauawa Garisa

0
Washukiwa watano wa kundi la wanamgambi wa al Shabaab wameuawa Jumamamosi eneo la Fafi kaunti ya Garissa . Kulingana na taarifa za polisi washukiwa wengine...

Ethiopia ‘yazuia mashambulizi ya wanamgambo 450 wa Al-Shabaab’

0
Ethiopia imepuuzilia mbali video ya mtandaoni iliyotolewa na kundi la Al-Shabaab ambapo kundi hilo linasema lilishambulia msafara wa Ethiopia nchini Somalia na kuua wanajeshi...

Mtu mmoja afariki, nyumba kadhaa zachomwa katika shambulizi la kigaidi Lamu

0
Mtu mmoja aliaga dunia na nyumba kadhaa kuchomwa katika shambulizi la kigaidi linaloshukiwa kutekelezwa macheo na wanamgambo wa Al-Shabaab katika kijiji cha Witho, kata...

Wanajeshi kadhaa wauawa Lamu na Al-Shabaab

0
Wanajeshi kadhaa  wanahofiwa kufariki  jana Jumapili usiku, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga  vilipuzi katika msitu wa Boni kaunti ya Lamu, kwenye shambulizi linaloshukiwa...

Raia 6 wa kigeni wakamatwa wakielekea kujiunga na Al-Shabaab

0
Maafisa wa usalama wamewakamata raia sita wa kigeni kwenye mpaka wa Kenya na Somalia wakati wakielekea nchini Somalia kujiunga na kundi la wanamgambo la...

Matukio ya Taifa: Walimu 37 na polisi 30 wauawa na Al-Shabaab...

0
Takriban walimu 37 wameuwawa na magaidi wa Al-shaabab na maafisa 30 wa polisi tangu mwaka 2013. Akitoa takwimu hizo, Waziri wa Usalama wa Taifa...

Waziri Kindiki asema serikali italiangamiza kundi la Al-Shabaab

0
Serikali italiangamiza kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab ambao wameendelea kuwa tishio kwa usalama wa taifa.  Hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Usalama wa Taifa...

Maafisa wa GSU wajeruhiwa baada ya gari kukanyaga kilipuzi Lamu

0
Takriban maafisa 10 wa GSU walijeruhiwa Jumapili asubuhi wakati gari walimokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi kilichokuwa kimetegwa chini ya ardhi. Kilipuzi hicho kinakisiwa kutegwa na wanamgambo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS