Home Tags AL AHLY

Tag: AL AHLY

Ndoto ya timu za Kenya kucheza fainali ya voliboli ya vipusa...

0
Ndoto ya timu za Kenya Pipeline na Kenya Commercial Bank kucheza fainali ya Voliboli  ya kilabu bingwa Afrika ilizimwa Ijumaa usiku, baada ya kupoteza...

Ahly kumenyana na Esperance katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

0
Watetezi wa taji ya Ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly ya Misri waliwazidia maarifa washindi mara tano Toupiza Mazembe ya Jamhuri ya Demokrasia ya...

Ni kufa kupona Ligi ya Mabingwa Afrika,wakali wao kubainika

0
Marudio ya nusu fainali za Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika yataandaliwa Ijumaa usiku, huku timu mbili zitakazocheza fainali ya msimu huu zikitarajiwa kubainika. Washindi...

Simba wadinda kulala chali nyumbani Dar dhidi ya Mwarabu

0
Miamba wa soka nchini Tanzania Simba Sports Club wamelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Al Ahly ya Misri, katika duru ya kwanza ya robo...

Simba SC kufungua Ligi ya Afrika AFL kuanza Ijumaa Dar

0
Makala ya kwanza ya kipute cha kuwania ligi ya Afrika baina ya  vilabu maarufu kama Africa Football League  (AFL), yatang'oa nanga Ijumaa, kwa robo...

USMA waigutusha Ahly na kutwaa kombe la Super Afrika

0
Mabingwa wa kombe la shirikisho la soka barani Afrika klabu ya USM Algers kutoka Algeria ndio mabingwa wapya wa kombe la CAF Super kwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS