Home Tags Al Ahly SC

Tag: Al Ahly SC

Ahly watoshana nguvu na Esperance

0
Washindi mara 10 wa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika,Al Ahly ya Misri walilazimisha sare tasa dhidi ya Esperance ya Tunisia katika duru...

Ahly wazuru Tunisia wakiwinda kombe la 11 la Ligi ya...

0
Al Ahly watachuana na Eserance ya Tunisia katika duru ya kwanza ya fainali kuwania taji ya ligi ya Mabingwa barani Afrika Jumamosi usiku mjini...

Belouizdad na Ahly waumiza nyasi bila madhumuni

0
Mabingwa watetezi wa taji ya Ligi ya Mabingwa Afrika klabu ya Al Ahly na CR Belouizdad ya Algeria, waliambulia sare tasa katika mchuano wa...

Ziara ngumu kwa mashetani wekundu Ahly dhidi ya Belouizdad

0
Mabingwa watetezi Al Ahly ya Misri watakabiliwa na kibarua kigumu Ijumaa usiku watakapozuru Algeria, kumenyana na wenyeji CR Belouizdad katika mchuano wa...

Mamelodi wamlambisha shubiri Mwarabu Cairo na kuingia fainali

0
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ilifuzu kwa fainali ya kombe la Ligi ya Soka Afrika baada ya kulazimisha sare tasa dhidi ya Al...

KBC kurusha mubashara mechi za ligi ya Afrika

0
Runinga ya taifa KBC Channel 1 itapeperusha mubashara mechi zote 14 za ligi ya mabingwa barani Afrika maarufu kama African Football League. Pambano la ufunguzi...

CAF yatangaza zawadi ya hela katika kipute cha ligi ya Afrika(AFL)

0
Shirikisho la soka barani Afrika limetangaza zawadi ya donge nono kwa timu zitakazoshiriki makala ya kwanza ya kipute cha ligi ya soka Afrika (AFL),...

Makala ya kwanza ya kipute cha ligi mpya ya Afrika, AFL...

0
Ligi mpya ya Afrika baina ya vilabu maarufu kama African Football League, AFL itang'oa nanga Oktoba 20 jijini Dare Salaam, Tanzania kulingana na shirikisho...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS