Home Tags AK

Tag: AK

Wanariadha 35 wateuliwa kuiwakilisha Kenya Olimpiki

0
Chama cha Riadha Kenya kimeteaua wanariadha 35 watakaoshiriki makala ya 31, ya michezo ya Olimpiki jijini Paris Ufaransa baina ya Julai 26 na Agosti...

Uteuzi wa Olimpiki katika riadha kuandaliwa uwanjani Nyayo

0
Chama cha Riadha kimetangaza kuandaa majaribio ya kitaifa kuteua kikosi cha Kenya kwa makala ya 31 ya Olimpiki baina ya tarehe 14 na 15...

Mbio za kitaifa zasukumwa mbele hadi Mei 21 na 22

0
Mashindano ya kitaifa ya riadha ambayo pia yangetumika kama majarbio ya kuteua kikosi cha Kenya kwa mashindano ya Afika yamesongezwa mbele kutoka Mei 16...

AK ingali na imani ya mashindano ya kitaifa kurejeshwa Nyayo

0
Rais wa chama cha Riadha Kenya Jenerali mstaafu Jackosn Tuwei ana imani kuwa mashindani ya kitaifa ya  riadha yatarejeshwa katika uwanja wa taifa wa...

Jebet na Sawe ndio mabingwa wa mbio za nyika mwaka 2024

0
Mshikilizi wa rekodi ya dunia ya Kilomita 10 Agnes Jebet Ngetich na bingwa wa dunia wa nusu marathoni Sebastien Sawe, ndio mabingwa wa kitaifa...

Wanariadha 30 wateuliwa kuwakilisha Kenya kwa mbio za nyika Afrika

0
Wanariadha 30 wameteuliwa kuiwakilisha Kenya katika mashindano ya mbio za nyika barani Afrika yatakayoandaliwa mjini Hammamet nchini Tunisia. Kikosi kilichotajwa kinawajumuisha wanariadha chipukizi na waliobobea...

Mwaka 2023 ulikuwa wa ufanisi mkubwa kwa wanariadha wa Kenya...

0
Mwenyekiti wa chama cha Riadha Kenya kaunti ya Nairobi Baranaba Korir amesema mwaka 2023 ulikuwa wenye ufanisi mkubwa wa kiwango cha asilimia 80 kwa...

Riadha Kenya kuandaa mkondo wa pili wa mbio za uwanjani mwezi...

0
Chama cha Riadha Kenya kimewataka wanariadha kujisali kwa wingi kushiuriki mkondo wa pili wa mashindano ya uwanjani maarufu kama Track and Field Weeekend...

Kip Keino Classic kuandaliwa Aprili mwaka ujao

0
Mashindano ya kila mwaka ya Kip Keino Classic Continental Tour yataandaliwa Aprili 20 mwaka ujao. Kwa kawaida, mkondo wa Kenya umekuwa ukiandaliwa mwezi Mei. Hata hivyo,...

Bett na Chepng’eno washinda mbio za nyika Ol -kalou

0
Edwin Bett na Cynthia Chepng'eno wametwaa ubingwa wa kilomita 10 katika mkondo wa nne wa mbio za nyika ulioandaliwa Jumamosi mjini Ol-Kalou kaunti ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS