Tag: Ajali
Watu 2 wafariki, wengine wajeruhiwa kwenye ajali Kiambu
Watu wawili wamefariki baada ya dereva wa basi walimokuwa wakisafiria kushindwa kulidhibiti na basi hilo.
Hali hiyo ilisababisha basi hilo kubingiria kwenye mtaro katika eneo...
Watu wanne wafariki kwenye ajali Narok
Watu wanne wamefariki kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Katakala huko Narok Kusini.
Ajali hiyo ilihusisha trela na gari la kubeba watalii aina...
Makamu wa Rais wa Malawi athibitishwa kufariki
Makamu wa Rais wa Malawi Dkt. Saulos Chilima na watu wengine tisa wamethibitishwa kufariki katika ajali ya ndege.
Vifo vya 10 hao vimethibitishwa na Rais...
Basi la Easy Coach lililobeba wanafunzi lahusika katika ajali Kisumu
Basi la kampuni ya Easy Coach limeripotiwa kuanguka katika mzunguko wa Mamboleo katika kaunti ya Kisumu jana Jumatatu usiku.
Basi hilo lilikuwa limebeba wanafunzi wa...
Chuo Kikuu cha Moi chasitisha safari za masomo kwa muda
Chuo Kikuu cha Moi kimefutilia mbali kwa muda safari za kimasomo kufuatia ajali ya basi iliyotokea leo Jumatano asubuhi.
Basi hilo lililokuwa limewabeba wanafunzi 65...
Naibu Kamanda wa Trafiki Narok afariki katika ajali ya barabarani
Naibu Kamanda wa Trafiki katika kaunti ya Narok Calvin Ochieng ameaga dunia katika ajali ya barabarani kwenye barabara ya Narok kuelekea Bomet.
Ajali hiyo ilitokea...
Watu 5 wafariki, wengine wajeruhiwa kwenye ajali Timboroa
Watu watano walifariki usiku wa kuamkia leo Alhamisi kufuatia ajali iliyotokea katika eneo la Mlango Tatu kwenye barabara ya Nakuru-Eldoret.
Watu watatu walifariki katika eneo...
Gachagua alalamikia ajali barabarani, ataka asasi husika kudumisha usalama
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa watumiaji wa barabara, asasi za usalama na asasi husika kuhakikisha usalama unadumishwa barabarani ili kuepukana na ajali...
Madereva watakiwa kuwa waangalifu msimu huu wa sherehe
Mkewe Naibu Rais Dorcas Rigathi ametoa wito kwa madereva kuwa waangalifu msimu huu wa sherehe ili kuepusha maafa barabarani.
Katika salamu zake za msimu wa...
Watu 4 wafariki kwenye ajali barabara ya Eldoret-Nakuru
Watu wanne wamefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea mapema leo Jumatatu alfajiri eneo la Hill Tea kwenye barabara ya Eldoret-Nakuru.
Ajali hiyo iliyotokea majira ya...