Tag: Aisha Jumwa
Usimteme Aisha Jumwa, viongozi wa Kilifi wamsihi Ruto
Viongozi wa kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa Rais William Ruto kuhakikisha hamwachi nje Aisha Jumwa wakati anapoedelea kuunda upya serikali yake.
Jumwa, ambaye ni...
Prof. Ndung’u, Aisha Jumwa, Moses Kuria, Namwamba na Chelugui watemwa
Mawaziri wanne katika Baraza la Mawaziri lililovunjwa inaonekana wametemwa.
Hii ni baada ya nyadhifa zao kukabidhiwa watu wengine na wao kutoteuliwa katika wadhifa wowote ule.
Wao...
Baraza la kitaifa la Kiswahili litabuniwa karibuni, asema Aisha Jumwa
Huku Kenya ikijiandaa kuungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya Kiswahili duniani Julai 7, 2024, mipango imeratibiwa kuhakikisha Baraza la kitaifa la Kiswahili linabuniwa na...
Jumwa: Wanawake wajumuishwe katika michakato ya amani
Waziri wa jinsia, utamaduni, sanaa na turathi Aisha Jumwa, amesisitiza umuhimu wa kushughulikia tamaduni ambazo zinahujumu ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani na...
Hafla ya mazishi yageuka kuwa jukwa la vurumai
Hafla ya mazishi ya aliyekua mtangazaji wa kituo kimoja cha redio eneo la Pwani Sammy Ambari, iligeuka kuwa uwanja wa vita baada ya mwakilishi...