Home Tags Afrika

Tag: Afrika

Uhuru: Elimu ni muhimu kwa ustawi wa Afrika

0
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amesisitiza umuhimu wa elimu katika kuhakikisha bara la Afrika linapiga hatua kimaendeleo.  Amelitaka bara hilo kufanya uwekezaji mkubwa katika elimu na...

Mudavadi atoa wito wa umoja wa Afrika kuibadilisha UNSC

0
Kenya imetoa wito wa bara la Afrika kuwa na msimamo mmoja katika kushinikiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, UNSC kufanyiwa mabadiliko. Waziri wa...

Mudavadi asisitiza umuhimu wa ushirikiano kuchochea maendeleo

0
Kinara wa Mawaziri ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi ametoa wito wa uboreshaji wa ushirikiano kati ya Canada na nchi...

Afrika ina uwezo wa kuzalisha chakula cha kutosha na kujilisha, asema...

0
Afrika ina uwezo wa kujilisha na nchi za bara hilo kuuza nje ya nchi mazao ya ziada. Rais William Ruto amesema bara hilo lina...

Afrika sasa itazungumza kwa sauti moja, asema Gachagua baada ya kongamano...

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amempongeza Rais William Ruto kwa kuongoza viongozi wengine wa bara la Afrika kuelezea msimamo thabiti wa bara hilo kuhusiana na...

Afrika kutafuta suluhisho endelevu kwa janga la tabia nchi

0
Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka barani Afrika wamekubaliana kuwa mstari wa mbele katika kutafuta suluhisho endelevu kwa janga la tabia nchi. Viongozi hao wamesema...

Mabadiliko ya Tabia Nchi: Mchungaji Dorcas aitaka Afrika kuzungumza kwa sauti...

0
Mke wa Naibu Rais Dorcas Rigathi amesema nchi hii iko katika mstari wa mbele katika kufanya maamuzi yanayohusiana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza...

Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi ni la kipekee, asema Rais...

0
Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi lililoanza leo Jumatatu jijini Nairobi na ambalo ni la kwanza kuwahi kufanyika ni la kipekee. Kongamano hilo linalowaleta pamoja...

Afrika kwa Urusi, Urusi kwa Afrika

0
Tarehe 29 mwezi Julai, 2023 katika mji wa Saint-Petersburg kulikuwa mkutano kwa kiwango cha juu baina ya Yuri Korobov, Rais wa Jumuiya ya Urusi...

Afrika inapaswa kujikomboa kutoka minyororo ya vikwazo vya maendeleo na umaskini

0
Bara la Afrika linapaswa kujikomboa kutoka kwenye taasisi za kifedha ambazo zimelilemaza kutokana na madeni. Hii hasa wakati huu ambapo kuna rasilimali chache na mdororo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS