Home Tags AFL

Tag: AFL

Mamelodi Sundowns watawazwa mabingwa wa AFL

0
Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini ndio mabingwa wa makala ya kwanza ya kombe la African Football League, baada ya kuwashinda Casablanca ya...

Wydad waipakata Mamelodi duru ya kwanza ya fainali AFL

0
Wydad Casablanca wakicheza nyumbani  walisajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ,katika duru ya kwanza ya fainali ya  kombe...

Wydad kuwaalika Mamelodi katika duru ya kwanza ya fainali kombe la...

0
Wydad Casablanca ya Morocco itawaalika Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la AFL Jumapili Novemba 5, kuanzia...

Mamelodi wamlambisha shubiri Mwarabu Cairo na kuingia fainali

0
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ilifuzu kwa fainali ya kombe la Ligi ya Soka Afrika baada ya kulazimisha sare tasa dhidi ya Al...

Wydad Casablanca waikalifisha Esperance mbele ya umma na kutinga fainali

0
Wydad Casablanca  wamestahimili shinikizo kali kutoka kwa wenyeji Esperance Sportive du Tunis, na kuwa timu ya kwanza kufuzu kwa fainali ya makala ya kwanza...

Simba wadinda kulala chali nyumbani Dar dhidi ya Mwarabu

0
Miamba wa soka nchini Tanzania Simba Sports Club wamelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Al Ahly ya Misri, katika duru ya kwanza ya robo...

KBC kurusha mubashara mechi za ligi ya Afrika

0
Runinga ya taifa KBC Channel 1 itapeperusha mubashara mechi zote 14 za ligi ya mabingwa barani Afrika maarufu kama African Football League. Pambano la ufunguzi...

Simba SC kufungua Ligi ya Afrika AFL kuanza Ijumaa Dar

0
Makala ya kwanza ya kipute cha kuwania ligi ya Afrika baina ya  vilabu maarufu kama Africa Football League  (AFL), yatang'oa nanga Ijumaa, kwa robo...

CAF yatangaza zawadi ya hela katika kipute cha ligi ya Afrika(AFL)

0
Shirikisho la soka barani Afrika limetangaza zawadi ya donge nono kwa timu zitakazoshiriki makala ya kwanza ya kipute cha ligi ya soka Afrika (AFL),...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS