Home Tags AFCON2023

Tag: AFCON2023

Tai wa Nigeria watinga fainali ya AFCON kwa taabu

0
Licha ya kupitia changamoto tele katika dakika 120, Super Eagles ya Nigeria hatimaye walitinga fainali ya kombe la AFCON baada ya subira ya miaka...

Bafana wafurahia kitoweo cha nyangumi na kufuzu kwa nusu fainali AFCON

0
Bafana Bafana ya Afrika Kusini ilihitaji ukakamavu wa kipa Ronwen Williams aliyepangua penalti nne, ili kufuzu kwa nusu fainali ya AFCON dhidi ya Cape...

Tai wa Nigeria wamtafuna Simba wa Cameroon na kufuzu robo fainali...

0
Super Eagles ya Nigeria waliendeleza ubabe dhidi ya Indomitable Lions wa Cameroon, baada ya kuwazabua mabao mawili kwa nunge na kutinga robi...

Mafarao wapenya raundi ya pili huku Ghana wakienguliwa AFCON

0
Mabingwa mara saba wa kombe la Bara Afrika Misri ukipenda the Pharoes,  walifuzu kwa raundi ya pili ya kombe la AFCON  kimiujiza wakisajili  sare...

Mbweha wa Algeria waponea chupuchupu AFCON

0
Mabingwa wa AFCON mwaka 2019 Algeria ukipenda The Foxes wametoka nyuma mara mbili na kulazimisha sare ya mabao 2 dhidi ya Burkina Faso, katika...

Ni derby ya Simba AFCON, Senegal wakishikana mashati na Cameroon

0
Huenda pakachimbika Ijumaa usiku wakati miamba mabingwa watetezi wa AFCON, Senegal watakapokwangurana na Cameroon katika mchuano wa kundi C. Indomitable Lions waliotoka sare na Guinea...

Mafarao wa Misri na Ghana wahaha AFCON

0
Misri na Ghana wamejipata kwenye njia panda katika hekaheka za kuwania kombe la AFCON, baada ya kuambulia sare ya magoli mawili katika mechi ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS