Home Tags AFCON 2027

Tag: AFCON 2027

Museveni afungua uga wa Nakivubo tayari kwa AFCON 2027

0
Uwanja wa Nakivubo umefunguliwa rasmi siku ya Ijumaa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, tayari kwa maandalizi ya kipute cha AFCON mwaka 2027 na...

Waziri Ababu akagua ukarabati uwanjani Kasarani

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba, alifanya ukaguzi wa ghafla wa ukarabati unaoendelea katika uwanja wa kimataifa wa Kasarani kwa maandalizi ya fainali za AFCON...

Waziri Ababu azuru Kisumu kukagua ujenzi wa uga wa Moi

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba siku Ijumaa amezuru uwanja wa Moi katika kaunti ya Kisumu, kufanya ukaguzi wa ukarabati wake kwa maandalizi ya michuano...

Kisumu kuandaa mechi za AFCON 2027, asema Rais Ruto

0
Kaunti ya Kisumu itaandaa baadhi ya mechi za kipute cha kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2027 maarufu kama AFCON. Hakikisho hilo limetolewa siku ya...

Uasin Gishu ina uwezo kuandaa mechi za AFCON 2027, asema Bii

0
Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii amejitokeza kimasomaso kutetea uwezo wa kaunti yake kuandaa mechi za kombe la mataifa ya Afrika, AFCON...

Hisia za viongozi wa Afrika Mashariki baada ya kukubaliwa kuandaa AFCON...

0
Viongozi wa Afrika Mashariki wamepongeza kutunikiwa hadhi ya kuandaa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), 2027, baada ya ombi la pamoja la...

Mwandalizi wa fainali za AFCON 2025 na 2027 kubainika Septemba...

0
Kamati kuu ya shirirkisho la kandanda barani Afrika CAF, linatarajiwa kutangaza mataifa yatakayoandaa fainali za kombe la Afrika mwaka 2025 na 2027. Kamati hiyo ya...

Tanzania yalenga viwanja vitatu katika ombi la pamoja la AFCON 2027

0
Rais wa shirikisho la kandanda nchini Tanzania TFF,Wallace Karia ana imani bid ya pamoja ya mataifa ya Afrika mashariki kuandaa kipute cha AFCON mwaka...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS