Home Tags AFCON 2024

Tag: AFCON 2024

Marefarii watatu wa Kenya kusimamia AFCON 2024

0
Waamuzi wa tatu wa Kenya ni miongoni mwa marefa watakaosimamia makala ya 34 ya fainali za kombi la mataifa ya Afrika AFCON nchini Ivory...

Song ataja kikosi cha Cameroon kwa kipute cha AFCON

0
Kocha wa Cameroon Rogobert Song, ametaja kikosi cha awali cha wanandinga 27 watakaoshiriki makala ay 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika...

Timu za EPL kuwakosa wachezaji watakaoshiriki AFCON

0
Makala ya 34 ya fainali za kuwania kombe la mataifa ya Afrika AFCON yataandaliwa nchini Ivory Coast kati ya Januari 13 na Februari 11...

Cameroon na Namibia wafunga orodha ya timu zilizofuzu kipute cha AFCON...

0
Mabingwa mara tano wa Afrika,Cameroon na Namibia walijikatia tiketi kwa makala ya 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika yatkayoandaliwa kati...

Nigeria, Cape Verde na Mali watinga AFCON

0
Nigeria, Cape Verde na Mali wamejikatia tiketi ya kushiriki makala ya 34 ya dimba la kombe la mataifa ya Afrika AFCON mwakani nchini Ivory...

Zambia na Equatorial Guinea watinga AFCON

0
Zambia na Equitorial Guinea wakijikatia tiketi kwa fainali za kombe la mataifa ya Afrika. Zambia walifuzu baada ya kuwazabua Ivory Coast mabao matatu kwa bila...

Mikwangurano ya kufuzu AFCON mwakani kupigwa Jumamosi

0
Jumla ya michuano saba ya raundi ya tano hatua ya makundi, kufuzu kwa fainali za kombe la AFCON mwaka ujao nchini Ivory Coast itapigwa...

Misri wawahi tiketi ya AFCON mwakani baada ya kuiramba Guinea

0
Misri almaarufu The Pharoes, waliwahi tiketi ya fainali za kombe la Afrika mwakani baada ya kutoka nyuma na kuwabwaga Guinea magoli ...

Hekaheka za kufuzu AFCON mwakani kurejea Jumatano

0
Jumla ya mikwangurano mitatu ya raundi ya tano, hatua ya makundi kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2024, zitapigwa Jumatano. Sudan...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS