Home Tags AFCON 2023

Tag: AFCON 2023

Ekong atawazwa mwanandinga bora wa AFCON huku Ronwen akiibuka kipa...

0
Nahodha wa Nigeria  William Troost-Ekong alitawazwa mchezaji bora wa makala ya 34 ya kipute cha AFCON nchini Ivory Coast. Mshambulizi wa Equitorial Guinea  Emilio Nsue...

Tembo wamfukuchua tai na kutwaa kombe la AFCON kwa mara ya...

0
Wenyeji Ivory Coast maarufu kama The Elephants ndio mabingwa wa makala ya 34 ya kombe la AFCON, baada ya kutoka nyuma na kuwazabua Super...

Bafana yamnyofoa Chui wa Congo na kutwaa shaba ...

0
Bafana Bafana ya Afrika  Kusini ilinyakua nishani ya shaba katika makala ya 34 ya kipute cha AFCON, walipoilemea Leopards ya DR Congo  penati 6-5...

Bafana kukabana koo na Chui wa Congo kuwinda shaba AFCON

0
Bafana Bafana ya Afrika Kusini na Chui wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  watashuka katika uchanjaa wa Félix Houphouët-Boigny mjini Abidjan, Jumamosi usiku katika...

Takwimu za AFCON baada ya mechi 50 huku kilele ikiwa Jumapili

0
Mechi 50 zimesakatwa tangu kuanza kwa makala ya 34 ya kipute cha kombe la AFCON nchini Ivory Coast. Jumla ya ambao 116 yamefungwa kutokana na...

Tembo wa Ivory Coast wamcharanga chui na kujaa fainali ya AFCON

0
Wenyeji Ivory Coast almaarufu The Elephants,  walijikatia tiketi kwa fainali ya makala ya  34 ya dimba la AFCON  baada ya kuwaangusha Chui wa Congo...

Chui kuvaana na tembo huku Bafana wakipimana ubabe na tai...

0
Makala ya 34 ya kindumbwendumbwe cha kombe la AFCON yatarejea Jumatano usiku tai wa Nigeria, wakicheza nusu fainali  ya kwanza dhidi ya Bafana bafana...

Ratiba ya robo fainali ya kipute cha AFCON yabainika

0
Ratiba ya mechi za robo fainali kuwania kombe la AFCON, imebainika kufuatia kukamilika kwa mechi za awamu ya 16 bora . Nigeria Super Eagles watafungua...

Bafana waangusha Simba wa Atlas na kufuzu robo fainali AFCON

0
Afrika Kusini waliendeleza ubabe wao dhidi ya Atla Lions ya Morocco baada ya kuwacharaza magoli 2-1 katika mechi ya mwisho ya awamu ya 16...

Tai wa Mali wapaa hadi robi fainali AFCON

0
Mali walijikatia tiketi kwa robo fainali ya kombe la AFCON baada ya kuwalaza Burkina Faso mabao 2-1, katika mchuano wa raundi ya 16...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS