Home Tags Aden Duale

Tag: Aden Duale

KDF yakabidhi hospitali ya Wanini kireri kwa idara ya Magereza

0
Vikosi vya ulinzi nchini KDF, vimekabidhi hospitali ya Wanini Kireri Magereza, kwa idara ya urekebishaji tabia, baada ya ujenzi wake kukamilika. Waziri wa usalama wa...

Wizara ya Ulinzi kukabidhi bustani ya Uhuru kwa serikali ya kaunti...

0
Waziri wa ulinzi Aden Duale, amesema atakabidhi bustani ya Uhuru kwa serikali ya kaunti ya Nairobi, baada ya kukamilika kwa ukarabati wa bustani hiyo. Akijibu...

Duale: Kiwanda cha KMC kitaimarishwa kuwa bora zaidi

0
Waziri wa Ulinzi Aden Duale amesema wizara ya ulinzi imejitolea kubadilisha kiwanda cha kutayarisha nyama nchini KMC, kwa nia ya kukiwezesha kuimarisha utayarishaji wa...

Wabunge wataka mafuriko kutangazwa janga la kitaifa

0
Wabunge wa bunge la Taifa sasa wanamtaka Rais William Ruto kutangaza mafuriko kuwa janga la kitaifa na kuelekeza mikakati mwafaka ya kukabiliana na hali...

Duale: Hakuna mianya ya wizi wa mitihani

0
Waziri wa ulinzi Aden Duale, amesema maadili ya mitihani ya kitaifa ya mwaka huu  lazima ilindwe, huku mitihani ya shule za msingi iking'oa nanga...

Kenya na Marekani zasaini mwafaka wa ushirikiano wa kijeshi

0
Kenya na Marekani zimesaini mwafaka wa ushirikiano unaolenga kuimarisha utendakazi wa majeshi ya mataifa hayo mawili. Waziri wa Ulinzi Aden Duale na mwenzake wa Marekani...

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin kuzuru Kenya Jumatatu

0
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin atazuru Kenya Jumatatu na kufanya kikao na mwenzake kutoka Kenya Aden Duale katika makao makuu ya Ulinzi. Wawili...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS