Tag: Adani Group
Mahakama yasitisha miradi ya Adani katika kampuni ya KETRACO
Serikali imepata pigo baada ya mahaka kuu kusitisha utekelezaji wa miradi ya ujenzi ya Kampuni ya Adani katika kampuni ya KETRACO
Jaji Bahati Mwamuye akitoa...
Mwanaharakati Gachoka awasilisha kesi ya tatu kupinga kukodishwa kwa JKIA
Mwanaharakati Tony Gachoka jana Alhamisi aliwasilisha kesi ya tatu mahakamani kupinga kukodishwa kwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA kwa mfanyabiashara...
Mpango wa kurejea kazini wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege waafikiwa
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege waliokuwa wakigoma kuanzia usiku wa manane jana sasa wameafikia makubaliano ya kurejelea kazi na wawakilishi wa mashirika husika na...
Wahandisi wahimiza ujumuishaji katika kuboresha JKIA
Wahandisi wa humu nchini sasa wanapendekeza kwamba mbinu jumuishi itumike katika mchakato mzima wa kuboresha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA.
Katika...