Home Tags Ababu Namwamba

Tag: Ababu Namwamba

Waziri Ababu akagua ukarabati uwanjani Kasarani

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba, alifanya ukaguzi wa ghafla wa ukarabati unaoendelea katika uwanja wa kimataifa wa Kasarani kwa maandalizi ya fainali za AFCON...

Namwamba ampeleka Dahir Kisumu kwa ndege kushiriki kipute cha CECAFA U-18

0
Dahir Abdikadir ana kila sababu ya kutabasamu baada ya kupata fursa adimu ya kusafiri kwa ndege hadi kaunti ya Kisumu na Waziri wa Michezo...

Waziri Ababu ahudhuria seminaa ya 40 ya mashirikisho ya Olimpiki Afrika-ANOCA

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba amehudhuria seminaa ya 40 ya muungano wa mashirikisho ya Olimpiki barani Afrika,ANOCA siku ya Jumamosi . Kikao hicho kimejadili kwa...

Waziri Ababu azuru Kisumu kukagua ujenzi wa uga wa Moi

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba siku Ijumaa amezuru uwanja wa Moi katika kaunti ya Kisumu, kufanya ukaguzi wa ukarabati wake kwa maandalizi ya michuano...

Uwanja mpya wa Talanta Sports City kujengwa na vikosi vya KDF

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba amekabidhi ujenzi wa uwanja mpya wa Talanta Sports City, ukarabati wa viwanja vya Nyayo, Kasarani na Kipchoge Keino kwa...

Waziri Namwamba ateuliwa kwenye jopo la Jumuiya ya Madola kwa miaka...

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba ameteuliwa katika jopo la mawaziri wa Jumuiya ya Madola wanaohusika na masuala ya vijana kwa kipindi cha miaka minne. Uteuzi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS