Home Tags 2023 FIFA WOMEN’S WORLD CUP

Tag: 2023 FIFA WOMEN’S WORLD CUP

Uhispania ndio malkia wa dunia katika soka

0
Uhispania wamenyakua kombe la dunia kwa wanawake kwa mara  ya kwanza baada ya kuwashinda Uingereza bao moja kwa bila kwenye fainali ya kusisimua iliyosakatwa...

Kombe la Dunia kwa wanawake: Mfungaji bora kubainika baada ya mechi...

0
Kinyangányiro cha mfungaji bora kweny fainali za Kombe la Dunia mwaka huu nchini Australia na Newzealand kitabainika Jumapili hii, Agosti 20 wakati wa fainali...

Uhispania yaishinda Uswidi, yatinga fainali ya Kombe la Dunia kwa vidosho

0
Uhispania wamefuzu kwa fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza  baada ya kuwashinda Uswidi mabao 2-1 katika nusu fainali iliyochezwa leo Jumanne...

Wenyeji Australia waibandua Ufaransa na kutinga nusu fainali ya Kombe la...

0
Wenyeji Australia maarufu kama Matildas wamefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa mabao 7-6...

Uswidi yafuzu nusu fainali ya 5 ya Kombe la Dunia

0
Uswidi imefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya 5 baada ya kuwabwaga Japani mabao 2-1 katika robo fainali iliyopigwa ugani...

Wenyeji Australia waiparuza Denmark na kufuzu robo fainali ya Kombe la...

0
Wenyeji Australia wamejikatia tiketi kwa robo fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake baada ya kuwalaza Denmark magoli mawili kwa bila katika mechi ya...

Uingereza wahemeshwa na Nigeria kabla ya kutinga robo fainali ya Kombe...

0
Uingereza almaarufu Three Lionesses wamekabiliwa na wakati mgumu dhidi ya Nigeri Superr Falcons kabla ya kuwashinda kupitia matuta ya penalti na kujikatia tiketi kwa...

Vipusa wa Uswidi wawabandua Wamarekani na kufuzu robo fainali ya Kombe...

0
Ndoto ya mabingwa watetezi Marekani kushinda Kombe la Dunia la nne kwa mpigo ilizimwa jana Jumapili baada ya kushindwa penalti 4 kwa 5 na...

Japani watinga robo fainai ya Kombe la Dunia kwa wanawake baada...

0
Japani walijikatia tiketi kwa kwota fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuilabua Norway magoli matatu kwa moja katika mechi ya pili ya raundi...

Vipusa wa Uhispania wafuzu robo fainali kombe la dunia kwa mara...

0
Uhispania imejikatia tiketi ya kwota fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza,baada ya kuichachafya Uswizi mabao 5 kwa moja katika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS