Home Tags 2023/2024 FKF PREMIER LEAGUE

Tag: 2023/2024 FKF PREMIER LEAGUE

Rangers watoka nyuma na kuwabwaga Homeboyz

0
Posta Rangers wametoka nyuma na kusajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kakamega Homeboyz katika mechiya kwanza ya raundi ya 31 kuwania ubingwa wa...

‘Sirkal’ watanua uongozi wa ponti 8 kileleni pa Ligi kuu FKF

0
Gor Mahia maarufu Sirkal wametanua uongozi wa alama nane kileleni pa jedwali la ligi ya FKF, baada ya kusajili ushindi wa bao moja kwa...

Chui yalenga ushindi wa 6 mtawalia Bukhungu

0
Klabu ya AFC Leopards itashuka uwanjani Bukhungu Kakamega jumapili dhidi ya wenyeji Kakamega Homeboyz, katika derby  maarufu kama “ingo derby” . Ngarambe hiyo itang'oa nanga...

Kinyang’anyiro cha ligi kuu ya Kenya kuingia awamu ya 22

0
Kinyang'anyiro cha taji la Ligi Kuu nchini Kenya FKF kitaingia raundi ya 22 mwishoni mwa Juma hili kati ya Februari 17 na 18. Runinga ya...

Bidco United yaikaanga Bandari Ligi Kuu ya FKF

0
Bidco United United imesajili ushindi wa mabao 2 kwa bila katika mojawapo wa mechi mbili za ligi kuu iliyochezwa Jumatatu katika uwanja wa Kasarani...

Mashemeji derby nambari 94 kupigwa Karasani Jumamosi jioni

0
AFC Leopards  itakuwa mwenyeji wa Gor Mahia katika derby  nambari 94,ikiwa mechi ya ligi kuu nchini . Gor wanakalia nafasi ya 3 kwa alama 8...

Waziri Owalo aimotisha Shabana FC

0
Klabu ya Shabana FC inayoshiriki ligi kuu ha Kenya, imepewa motisha inapojiandaa kwa mchuano wa Jumapili hii wa ligi dhidi ya watani wa jadi...

Tusker FC wanasa wanandinga watano wapya tayari kwa msimu wa ligi...

0
Tusker FC wamethibistisha kuwasajili wachezaji watano katika harakati za kujiandaa kwa msimu wa ligi kuu ya soka nchini FKF mwaka 2023 na 2024. Wanandinga walionaswa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS