Home AFCON 2023 Swara wa Angola waikwatua Namibia na kufuzu kwa robo fainali...

Swara wa Angola waikwatua Namibia na kufuzu kwa robo fainali baada ya miaka 14

0

Angola maarufu kama Palancas Negras wamewafedhehesha Namibia ,Brave Warriors katika derby ya COSAFA mabao matatu kwa yai na kufuzu kwa robo fainali ya kombe la AFCON.

Gelson Dala alipachika mawili kunako kipindi cha kwanza kabla ya Mabululu kuongeza la pili, huku timu zote zikimaliza mechi na wachezaji 10 kufuatia kati nyekundu.

Angola walifuzu kwa robo fainali ya AFCON kwa mara ya tatu na ya kwanza tangu mwaka 2010 wakiwa wenyeji.

Website | + posts