Home Habari Kuu Suluhu avunja bodi ya umeme Tanzania kwa kutepetea

Suluhu avunja bodi ya umeme Tanzania kwa kutepetea

0
kra

Rais Samia Suluhu Hassan amevunjilia mbali bodi yote inayodhibiti umeme nchini Tanzania,Tanesco kutokana na utepetevu.

Rais Samia ameafikia hatua hiyo kutokana na shinikizo kutoka kwa umma kutokana na kutoweka kwa nguvu za umeme mara kwa mara .

kra

Rhimo Nyasaho ndiye  kuwa mwenyekiti mpya kwenye mabadiliko yaliyofanywa na Rais Samia.

Tanzania inakabiliwa na upungufu wa nguvu za umeme kutoka na kupungua kwa viwango vya umeme unaosambazwa.

Website | + posts