Home Michezo Shujaa yafuzu kwa Olimpiki baada ya kuduwaza Afrika Kusini

Shujaa yafuzu kwa Olimpiki baada ya kuduwaza Afrika Kusini

Patrick Odongo alipachika tries mbili huku John Okoth akiongeza try nyingine moja.

0

Timu ya taifa ya raga ya Kenya maarufu kama Shujaa imefuzu kwa michezo ya Olimpiki ya mwaka 2024 jijini Paris Ufaransa baada ya kuilaza Afrika Kusini pointi 17 kwa 12 kwenye fainali ya kombe la Afrika mjini Harare Zimbabwe Jumapili jioni.

Ushindi huo unawafuzisha Kenya kwa michezo ya Olimpiki ya mwaka ujao na pia kunyakua kombe la bara Afrika.

Patrick Odongo alipachika tries mbili huku John Okoth akiongeza try nyingine moja.

 

 

Website | + posts