Home Taifa Serikali yatangaza Jumatatu kuwa sikukuu

Serikali yatangaza Jumatatu kuwa sikukuu

0
kra

Wakenya wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali kutangaza Jumatatu, Juni 17, 2024 kuwa sikukuu. 

Siku hiyo imetangazwa kuwa sikukuu na Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki kupitia gazeti rasmi la serikali la Juni 13,2024.

kra

Sababu ya kutangaza siku hiyo kuwa sikukuu ni ili kuruhusu waumini wa dini ya Kiislamu kusherehekea Eid-Al-Adha.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here