Home Habari Kuu Serikali kutoa shilingi bilioni 90 kuvinusuru vyuo vikuu vya umma

Serikali kutoa shilingi bilioni 90 kuvinusuru vyuo vikuu vya umma

0

Serikali imetangaza kutoa shilingi bilioni 90 kuvinusuru vyuo vikuu vya umma 35 nchini, vinavyokabiliwa na madeni ya kima cha shilingi bilioni 77.

Kulingana na Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu mpango huo utahakikisha vyuo hivyo vinatekeleza wajibu wao ipasavyo.

Vyuo vikuu vya umma havijakuwa vikitekeleza wajibu wao kwa takriban miaka minane iliyopita kutokana na malimbikizi ya madeni ya vyama vya ushrika,mishahara,makato ya lazima kwa wafanyikazi na mikopo ya benki.

Website | + posts