Home Habari Kuu Serikali kutangaza bajeti ya makadirio ya matumizi mwaka 2024/2025 leo

Serikali kutangaza bajeti ya makadirio ya matumizi mwaka 2024/2025 leo

0
Waziri wa Fedha Prof. Njuguna Ndung'u
Waziri wa Fedha Prof. Njuguna Ndung'u
kra

Serikali inatarajiwa kutangaza makadirio ya matumizi ya  pesa mwaka 2024/205 leo alasiri.

Hafla hiyo ya kila mwaka itasomwa bungeni na Waziri wa Fedha Professa Njuguna Ndungu.

kra

Bajeti hiyo ni ya kima cha shilingi trilioni 4 ikiwa na upungu shilingi bilioni 608,kutoka kwa ile mwaka jana.

Baadhi ya sekta zilizotengewa mgao mkubwa wa bajeti hiyo ni elimu na afya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here