Home Habari Kuu Ruto awateua majaji 20

Ruto awateua majaji 20

0

Rais William Ruto amewateua majaji 20 walioidhinsihwa na tume ya huduma za mahakama(JSC).

Majaji walioteuliwa ni Moses Ado Otieno, Alice Chepngetich Bett Soi, Benjamin Mwikya Musyoka, John Lolwatan Tamar, Francis Weche Andayi, Andrew Bahati Mwamuye, Julius Kipkosgei Ng’arng’ar, Wendy Kagendo Micheni, Emily Onyando Ominde, Helene Rafaela Namisi na Alexander Muasya Muteti

Wengine ni Julius Mukut Nangea, Benjamin Kimani Njoroge, Caroline Jepyegen Kendagor, Stephen Nzisi Mbungi, Linus Poghon Kassan, Noel Onditi Adagi Inziani, Tabitha Ouya Wanyama, Rhoda Cherotich Ruto na Joe Omido Mkutu.

JSC iliwasilisha majina hayo kwa Rais kufuatia kukamilika kwa mchakato wa kuwasaili ulioshuhudia maombi 305 huku 100 wakijumuishwa kwenye mchujo.

Website | + posts