Home Kimataifa Ruto awataka Mawaziri wapya kuweka maslahi ya Wakenya mbele

Ruto awataka Mawaziri wapya kuweka maslahi ya Wakenya mbele

0
Rais William Ruto.
kra

Rais William Ruto amewataka Mawaziri wapya kuweka maslahi ya Wakenya mbele katika utendakazi wao, ili kuisaidia serikali kuafikia ajenda yake.

Ruto amesema haya mapema Alhamisi, alipoongoza zoezi la uapishwaji wa mawaziri 19 aliowateua maajuzi.

kra

Rais aliahidi kuwaunga mkono mawazir hao ili kufanikisha malengo ya serikali.

Mawaziri hao wameapishwa baada ya 19 kati mawaziri 20, kuidhinishwa na bunge la kitaifa siku ya Jumatano.

Uteuzi wa Stella Soi Lang’at kuwa Waziri wa Jinsia ulikataliwa na bunge.

Website | + posts