Home Michezo Rangers yampiga teke meneja Michael Beale kwa utepetevu

Rangers yampiga teke meneja Michael Beale kwa utepetevu

0

Klabu ya Rangers ya Scotland imempiga kalamu meneja  Michael Beale, kufuatia msururu wa matokeo mabovu ambapo imepoteza mechi tatu mtawalia.

Beale alifurushwa Jumapili kufuatia kipigo cha mabao matatu kwa moja na Aberdeen .

Rangers ni ya tatu katika jedwali la ligi kuu ,alama 7 nyuma ya watani wa jadi Celtic walio kileleni .

Steven Davis  ametwikwa jukumu la kuwa kocha wa muda .

Website | + posts