Kiongozi wa nchi Rais William Ruto kwa hivi sasa anahudhuria ibada ya madhehebu mbali mbali leo katika uwanja wa Nyanturago, eneo bunge la Nyaribari Chache kaunti ya Kisii.
Awali viongozi wa kadhaa wa eneo hilo walimkaribisha Rais katika eneo hilo wakitaja hafla inayoendelea kwa sasa kuwa ya kutoa shukrani.