Home Kimataifa Rais wa Chad Idriss Mahamat Deby ala kiapo cha ofisi

Rais wa Chad Idriss Mahamat Deby ala kiapo cha ofisi

0

Rais wa Chad Idriss Mahamat Deby Itno aliapishwa rasmi siku ya Alhamisi, baada ya kushinda uchaguzi mapema mwezi huu kufuatia utawala wa kijeshi wa miaka mitatu.

Deby Itno alitwaa mamlaka kutoka kwa babaek Idriss Deby Itno aliyeuawa na waasi mwaka 2021 baada ya kuliongoza taifa hilo kwa miaka 30 .

Viongozi kadhaa wa kimataifa walimpongeza Rais huyo kufuatia ushindi wake mkubwa katika uchaguzi ullioandaliwa mwezi huu baada ya kucheleweshwa kwa muda.